WAGENI KUSCANIWA UKUMBINI

HUDUMA MPYA YA KITEKNOLOJIA KUTOKA DP TECHNOLOGY

QR SECURITY CHECK-IN KWA WAGENI UKUMBINI

Badili namna unavyopokea wageni kwenye sherehe zako – toka kwenye daftari la karatasi, kuingia kwenye mfumo wa kisasa wa QR Code.
Faida za huduma yetu
  • Kuscani mgeni kwa sekunde chache tu – foleni inapungua kwa kasi.
  • Kila mgeni anaonekana kwenye mfumo kwa jina, code na namba ya simu.
  • Unajua kwa muda halisi ni wangapi tayari wameingia na wangapi wamebaki.
  • Muda wa kuingia (check-in time) unaandikwa moja kwa moja kwenye mfumo.
  • Hakuna kuchezea tiketi – mfumo unatambua mgeni akijaribu kuscaniwa mara ya pili.
  • Hufanya kazi kwa simu (Android/iPhone) na laptop bila vifaa vya ziada.
Inafaa kwa matukio:
Harusi, send-off, birthday, vipindi vya harambee, mikutano ya taasisi, makongamano, matukio ya kijamii na ya kikazi.
LIVE EVENT DASHBOARD
Jumla ya Wageni: 2500
Tayari Wameingia: 140
Waliobaki Kuingia: 2360
Mfano wa mgeni aliyeingia hivi punde:
Jina: Faudhia Emmanuel
Code: 72815353
Simu: 0783 014 577
Muda wa kuingia: 19:42:15