🌐 WIFI PAY SYSTEM

Ni huduma ya Wi-Fi ya kisasa kwa biashara, hostels, apartments na maeneo ya huduma za Umma

DP TECHNOLOGY Tunakufungia huduma ya WiFi Pay System kwa wateja wako kwa Tsh 530,000/= tu na uanze kutengeneza kipato mara moja! Hii huduma haitakuhitaji kuweka Nywila (Password) kwenye WiFi yako bali itakuwa Open muda wote ambapo mteja atajiunga na baada ya kuingia atatakiwa kulipa hela hapohapo kulingana na vifurushi utakavyokuwa umeweka kwa ajili ya wateja wako Mfano Tsh1,000/= kwa siku nzima, Tsh5,000/= Wiki nzima, Tsh18,000/= kwa Mwezi mzima. Tuite popote ulipo ndani ya jiji la Dar es salaam na mikoa jirani tuweze kukuhudumia. 

🎁 OFA MAALUM: Pata Free Trial ya mwezi mzima bila malipo yoyote ya ziada!

KARIBU KWENYE ULIMWENGU WA TECHNOLOJIA