FUATILIA CHETI CHAKO RITA MTANDAONI KIRAHISI
Tumeboresha mfumo wetu wa CHETI CHA KUZALIWA — sasa unaweza kufuatilia cheti chako cha kuzaliwa kwa njia ya Mtandao na kupata Majibu yako kwa haraka sana. Unapomaliza kusajiliwa Tutakupatia Msimbo (CODE) ambao utautumia kufuatlia cheti chako ndani ya siku tatu tu cheti chako kitakuwa tayari.
Achana na foleni njoo kwetu uokoe Muda wako.
FUATILIA OMBI LAKO
🔐 Salama. Haraka. Kidigitali.
Teknolojia inayokuwezesha kukomboa muda wako.
© 2025 DP MEDIA | Mfumo wa kidigitali wa huduma za haraka
