Je, Unataka kuwa mtaalamu wa kompyuta na kujifunza ujuzi unaohitajika zaidi kwenye soko la ajira?

Huu ndio wakati wako sahihi!
Kampuni yetu inatoa nafasi maalumu kwa vijana wanaotaka kujiendeleza kupitia Mafunzo ya Vitendo ya Kompyuta. Hii haikubagui ili mradi uwe na ujuzi wa kusoma na kuandika pamoja na kufahamu Lugha ya Kingereza na Kiswahili tu na uwe mkazi wa mkoa wa Dar es salaam, kama wewe sio mkazi wa DSM utafanya maombi ila system haitakuruhusu kutuma maombi hayo baada ya kujaza taarifa zako.

📚 AINA YA MAFUNZO TUNAYOTOA:

1️⃣ Mafunzo ya Graphics Design
2️⃣ Mafunzo ya Kushuti Video (Video Shooting)
3️⃣ Mafunzo ya Kuhariri Video (Video Editing)
4️⃣ Mafunzo ya Uhasibu kwa Kompyuta
5️⃣ Mafunzo ya Kutunza Data (Data Management)
6️⃣ Mafunzo ya Mitandao (Networking)

kama upo tayari bofya kitufe hicho chini kuanza maombi yako.Nakutakia Safari njema ya Kuiteka dunia kwa njia ya Technolojia.