
Karibu sana kwenye mfumo wetu ambao umeandaliwa kwa ajili ya kupokea watu ambao wapo tayari kufanya kazi na ofisi zetu. kazi hii inakuhusu wewe ambaye unahitaji kuwa mmoja wa washiriki wetu popote pale Tanzania. Baada ya kupokea maombi yako utapigiwa simu moja kwa moja kutoka kwenye ofisi zetu ambapo utapewa namba ya ushirika (Check Codes) ambazo zitatumika kukuwakilisha katika masuala yote ya kikazi. Ni mfumo rahisi na yeyote anaweza kufanya maombi haya. Kwa njia nyingine ni kwamba utakuwa Wakala wetu na utalipwa kulingana na wateja utakaowaelekeza kwetu wakiwa na namba yako ya ufanyakazi (Check Code). Maelezo ya kulipwa utayapata kwenye Dashbodi ya kuomba kazi.
134k views