Kulingana na ubunifu mbalimbali kutoka kampuni la DP Media, wamerahisisha njia maalumu ambapo mteja atakuwa na uwezo wa kuchagua aina ya kifurushi anachotaka kufanyiwa au kuhudumiwa na kuweza kujaza mkataba hapohapo bila kuchukua muda wowote. Njia hii imepunguza mirorongo mingi ikiwemo muda, fedha na kupunguza umbali wa kuonana na watoa huduma. GUSA HAPA KUPATA MWONGOZO ZAIDI