Tunapenda kukutangazia wewe mwanafamilia wa Penny Media kuwa, tumetangaza kazi za muda mfupi yaani siku tatu kuanzia tarehe 23/04/2025 mpaka tarehe 26/04/2024. Washiriki wa Application hii ni pamoja na Video Queens, vixen wa kike na kiume, camera man msaidizi, location managers, wazee wa bajeti na wengineo kama mfumo utakavyoelezea.
