Serikali ya Tanzania kushirikiana na Wizara ya Elimu imeandaa mfumo rahisi wa namna ya kupata joining instructions kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2023/2024. jambo muhimu kuandaa ni namba shule alikohitimu form four, namba yake ya mtihani na mwaka wa kuhitimu mfano S3232.00002.2022
au kama ni mtumiaji wa kompyuta za Apple tumia chumba hapo chini
Pia kama bado hujafahamu kuwa umechaguliwa au laa!! BOFYA HPA
| EXAMINATION CENTER | ||
| CANDIDATE NAME | ||
| SEX | ||
| HOME COUNCIL | ||
| SELECTION | ||
| JOINING INSTRUCTIONS | ||
987K have reaches here
